Kiatu hiki upendezea sana kuvaliwa na suruali aina ya[ skin
jeans] au sketi fupi ambayo itapelekea wewe uvutie mda wote mara nyingi watu
upendelea kiatu kama hiki kutembelea sehemu tambalale na viatu hivi upendezea
sana.
watu wote lakini sanasana wanaopendezea zaid ni watu wafupi kuliko warefu
ndo vinawapendezea zaidi kwa hiyo tunashauriwa tuwe tuna angalia aina ya kiatu
ambayo itaendana na nguo ulio vaa sio unavaa gauni la kumwaga na aina kiatu
kama hiki kwa kweli utakuwa ni kichekesho kwa watu wote
No comments:
Post a Comment