Wednesday, April 29, 2015

KARIBU KWENYE BLOG YANGU UPATE KUJIONEA AINA MBALI MBALI ZA SIMPLE SHOES


Habari za wakati huu katika blog yangu ingia ujinee mambo mazuri upate kuona simple mbali mbali zenye rangi ya kuvutia na zenye muonekano mzuri wakati mzuri





Monday, April 27, 2015

TUTAJIFUNZA JINSI YA UVAAJI WA RABA ZINAVALIWA SEHEMU GANI NA WAKATI GANI


Habari za wakati huu marafiki zangu leo katika blog yangu  tutajifunza  jinsi ya  uvaaji wa raba zinavaliwa sehemu gani na wakati gani watu wengi wanazani ya  kuwa raba zinavaliwa wakati wa mazoezi tuu
 
Hapana sio tuu wakati wa mazoezi raba uvaliwa hata katika kipindi cha mvua kwa sababu inasaidia sana kuepusha uaribifu wa viatu vyako ambavyo vyenye soli laini
.
Hata ivyo raba usaidia miguu kuwa milaini endapo ukiwa unazoea kuvaa mara kwa mara kwa inakuepushia miguu yako kunuka au kuchanika ivyo basin i vizuri tuwe tuna vaa raba wakati mwingine ili iweze kulainisha miguu yako.












Wednesday, April 22, 2015

JINSI YA KUVAA VIATU VYA WAZI IKIWA NI WAKATI NA KATIKA MAZINGIRA GANI INGIA UJIONEE


Uhali gani mpenzi msomaji, wa blog hii na  leo katika uwanja huu wa viatu tutazungumzia aina ya viatu vya wazi pia tuta changanua mambo mengi kuhusu aina hii ikiwemo wakati gani wa kuvi vaa, mazingira, na jinsi ya kuilinda miguu yako ili isi chafuke unapo vaa viatu vya aina hii.

Viatu hivi  upendezea sanasana kuvaliwa wakati wa masika kwa sababu viatu vinafanya miguu yako isitoe harufu mbaya kwa sababu wakati wa mvua ukiwa umevaa viatu vya kufunika maji yanapo ingia kwenye kiatu chako yanaweza kukusababishia miguu kutoa harufu mbaya mda wote au kukuletea fangasi kwa sababu ya ule unyevu unyevu uliopo katika viatu vyako.

Vilevile kuna baadhi ya watu ambao awapendelei kuvaa viatu vya wazi kwa sababu akitembea hatua mbili au tatu unakuta amesha chafuka lakini pia kuna watu ata atembee navyo kuanzia hasubui mpaka jioni miguu  yake bado inaonekana kuwa misafi.

Viatu vya wazi ni vizuri sana vinafanya miguu yako iwe na muonekano mzuri na inakuepushia sugu katika miguu yako ukiwa unavaa mara kwa mara ni tofauti na viatu vya kufunika.










Monday, April 20, 2015

JUA AINA YA KIATU CHA KUVALIA SKETI FUPI NA SURUALI INAYO JULIKANA KWA JINA LA SKEAN JEANS


Kiatu hiki upendezea sana kuvaliwa na suruali aina ya[ skin jeans] au sketi fupi ambayo itapelekea wewe uvutie mda wote mara nyingi watu upendelea kiatu kama hiki kutembelea sehemu tambalale na viatu hivi upendezea sana.
 watu wote lakini sanasana wanaopendezea zaid ni watu wafupi kuliko warefu ndo vinawapendezea zaidi kwa hiyo tunashauriwa tuwe tuna angalia aina ya kiatu ambayo itaendana na nguo ulio vaa sio unavaa gauni la kumwaga na aina kiatu kama hiki kwa kweli utakuwa ni kichekesho kwa watu wote

Wednesday, April 15, 2015

VIATU VYA MCHUCHUMIO


Habari za wakati huu marafiki zangu karibuni  kwenye Blog yangu upate kujua aina mbali mbali za viatu ambavyo vyenye rangi mbali mbali zenye  kuvutia wakati wote. viatu hivi vinampendeza kila mmoja.
  hivi viatu upenda kuvaliwa wakati wa harusi na sio tu kwenye harusi hata kwenye sherehe tofauti tofauti uvaliwa. Na viatu hivi  mara nyingi utakiwi kutembea navyo sehemu zenye makorongokorongo kwasababu vitakufanya uchoke  kwa haraka zaidi pia vinaweza vikakusababishia vidonda nakuweza kushindwa kabisa  kutembea.

 kwa hiyo unatakiwa uwangalie ni aina gani ya kiatu unatakiwa uvae pale tuu unapoenda safari ya mbali na sio unavaa kiatu ambacho kitakupa shida badae

 Na unapo kuwa unavaa kiatu  kama ichi ni vizuri uwe na  usafiri wako pembeni ila kuna wapo ambao wanaviwezea viatu virefu kwao inakuwa sio shida ila wengi wao awawezi kutembelea viatu kama ivi kwa iyo ni vizuri uwe unaangalia pale unapotaka kwenda safari ya mbali ni kiatu gani ambacho kitaweza kukufanya usiweze kuchoka kwa haraka zaidi