Habari za wakati huu katika blog yangu ingia ujinee mambo
mazuri upate kuona simple mbali mbali zenye rangi ya kuvutia na zenye muonekano
mzuri wakati mzuri
nehshoes
inahusu aina mbali mbali za viatu ambavyo vitakuwa na rangi tofauti tofauti zenye kuvutia....
Wednesday, April 29, 2015
Monday, April 27, 2015
TUTAJIFUNZA JINSI YA UVAAJI WA RABA ZINAVALIWA SEHEMU GANI NA WAKATI GANI
Habari za wakati huu marafiki zangu leo katika blog yangu tutajifunza
jinsi ya uvaaji wa raba
zinavaliwa sehemu gani na wakati gani watu wengi wanazani ya kuwa raba zinavaliwa wakati wa mazoezi
tuu
Hapana sio tuu wakati wa mazoezi raba uvaliwa hata katika
kipindi cha mvua kwa sababu inasaidia sana kuepusha uaribifu wa viatu vyako
ambavyo vyenye soli laini
.
Hata ivyo raba usaidia miguu kuwa milaini endapo ukiwa
unazoea kuvaa mara kwa mara kwa inakuepushia miguu yako kunuka au kuchanika
ivyo basin i vizuri tuwe tuna vaa raba wakati mwingine ili iweze kulainisha
miguu yako. Wednesday, April 22, 2015
JINSI YA KUVAA VIATU VYA WAZI IKIWA NI WAKATI NA KATIKA MAZINGIRA GANI INGIA UJIONEE
Uhali gani mpenzi msomaji, wa blog hii na leo katika uwanja huu wa viatu tutazungumzia
aina ya viatu vya wazi pia tuta changanua mambo mengi kuhusu aina hii ikiwemo
wakati gani wa kuvi vaa, mazingira, na jinsi ya kuilinda miguu yako ili isi
chafuke unapo vaa viatu vya aina hii.
Viatu hivi upendezea sanasana kuvaliwa wakati wa
masika kwa sababu viatu vinafanya miguu yako isitoe harufu mbaya kwa sababu
wakati wa mvua ukiwa umevaa viatu vya kufunika maji yanapo ingia kwenye kiatu
chako yanaweza kukusababishia miguu kutoa harufu mbaya mda wote au kukuletea
fangasi kwa sababu ya ule unyevu unyevu uliopo katika viatu vyako.
Vilevile kuna baadhi ya watu ambao awapendelei kuvaa viatu
vya wazi kwa sababu akitembea hatua mbili au tatu unakuta amesha chafuka lakini
pia kuna watu ata atembee navyo kuanzia hasubui mpaka jioni
miguu yake bado inaonekana kuwa misafi.
Viatu vya wazi ni vizuri sana vinafanya miguu yako iwe na
muonekano mzuri na inakuepushia sugu katika miguu yako ukiwa unavaa mara kwa
mara ni tofauti na viatu vya kufunika.
Monday, April 20, 2015
JUA AINA YA KIATU CHA KUVALIA SKETI FUPI NA SURUALI INAYO JULIKANA KWA JINA LA SKEAN JEANS
Kiatu hiki upendezea sana kuvaliwa na suruali aina ya[ skin
jeans] au sketi fupi ambayo itapelekea wewe uvutie mda wote mara nyingi watu
upendelea kiatu kama hiki kutembelea sehemu tambalale na viatu hivi upendezea
sana.
watu wote lakini sanasana wanaopendezea zaid ni watu wafupi kuliko warefu
ndo vinawapendezea zaidi kwa hiyo tunashauriwa tuwe tuna angalia aina ya kiatu
ambayo itaendana na nguo ulio vaa sio unavaa gauni la kumwaga na aina kiatu
kama hiki kwa kweli utakuwa ni kichekesho kwa watu wote
Wednesday, April 15, 2015
VIATU VYA MCHUCHUMIO
Habari za wakati huu marafiki zangu karibuni kwenye Blog yangu upate kujua aina mbali mbali za viatu ambavyo vyenye rangi mbali mbali zenye kuvutia wakati wote. viatu hivi vinampendeza kila mmoja.
hivi viatu upenda kuvaliwa wakati wa harusi na sio tu kwenye harusi hata kwenye sherehe tofauti tofauti uvaliwa. Na viatu hivi mara nyingi utakiwi kutembea navyo sehemu zenye makorongokorongo kwasababu vitakufanya uchoke kwa haraka zaidi pia vinaweza vikakusababishia vidonda nakuweza kushindwa kabisa kutembea.
kwa hiyo unatakiwa uwangalie ni aina gani ya kiatu unatakiwa uvae pale tuu unapoenda safari ya mbali na sio unavaa kiatu ambacho kitakupa shida badae
Na unapo kuwa unavaa kiatu kama ichi ni vizuri uwe na usafiri wako pembeni ila kuna wapo ambao wanaviwezea viatu virefu kwao inakuwa sio shida ila wengi wao awawezi kutembelea viatu kama ivi kwa iyo ni vizuri uwe unaangalia pale unapotaka kwenda safari ya mbali ni kiatu gani ambacho kitaweza kukufanya usiweze kuchoka kwa haraka zaidi

Subscribe to:
Posts (Atom)